Ad

www.halffry.com. Powered by Blogger.

Ad

Ad

DOGO JANJA - SITAKI - OFFICIAL MUSIC VIDEO

>> Wednesday, September 15, 2021

 


DOGO JANJA - SITAKI (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Song Lyrics:-

Intro-Madee
Yoo madee yooo hellow captian tunda man wa tip mchukue dogo huyo
mpigie chours nini dogo achane anajua or right

Chors-Tunda Man
Anajua ndo maana tumemchukua,akuna asiyejua kama dogo anajua,dogo
janja toka tip,mtoto mwenye bidii anakipaji unamkubali sema aahh,

Vers1-Dogo Janja
Kimbiza kinyama,mpaka maboya wanahema,
hakuna kuhanya,tunawameza tunawatema.
wataipatapata,fresh ya mwaka mpaka watatetemeka
kuona obey na mecca tuko full mzuka,
Magoro,mianzi up to ngarenaro,
Masoro,wameishiwa aidia wanatuberoo,, yeroo,
Sasa sisi za kiwilisniper,hakuna kugwaya viveMpaya
Tunachana mbaya like stopper ra wa fire
Dogo janja mimi,
Kachaa wa ungalim,
Sirushagi ngumi,
Nawachapa tu na ulimi,
Kwa michano kichomi kama ulikuwa unisomii,
Dogo janja sikwamii,
A.town hustler army,
Tupo japo atuvumi,
A.town sio miami,
Dogo janja kamanda,
Like coplo ndamanga,watoto wa mama leo tunawavisha kanga,

Chours-Tunda Man

Vers 2-Dogo Janja
Nazidi kupanda navuta na muda nazidi kimbiza na wida na shada nazidi kuvuta,
Nipe kipaza nipate kumeck makaki,
Nishike ni mic bunduki,
Napo kwenda ni mbali cha kushaangaza sifikii napiga push up,kuchana hip hop,
Nikama ni demu sitaki kunyapu,
Napiga sitaki kubip,
Watoto wa mama tunawavisha kapu yoo,sipigi masiga kiniger,wanajiona ma
hard core uku wakati wanaiga,na wale watoto wa mama wanaiga maskio
kutoga,a.town tutawamega viboga,
Kibaka kakaba kahaba kaiba mkoba katika mkoba kakuta kiroba kakuta
kizoba kakuta ratiba msiba hehehe uyoo kakuta ratiba msiba,,

Chours Tunda Man

Out-Dogo Janja

Heloow poeple au sio bana bana dogo janjaroo toka mkoa wa
killimanjaro, hehe ausio bana hamna dogo anaeza kuchana kama mimi
hakuna hakuna mi mkali inaeleweka unaona mpaka na cheka hahahaha
pamoko au sio mapaiya,tajir wa mahaba toka manza bey tanga casim
mganga na tane luzaaaaa haha watazima fegii mkali

0 comments:

Ad

Ad

  © Blogger templates Sunset by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP